Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Anaandika @exaud_msaka_habari
Leo nimewaza Jinsi swala la @bm3gh linavyopotea kirahisi nikajisemea hapana ngoja niwe kila mwezi nakumbusha mara moja mpaka tumpate mchawi.
Yani naona kama Movie imeisha alafu sjaridhika, sjui imeishaje
Hii ni mechi ya tatu ya Ligi anaichezea simba huku akiwa ametangazwa na Yanga kama mchezaji wao halali.
Tuliambiwa kuwa haki lazima itendeke lazima swala lifike CAS huko, hivi imefikia wapi, barua imefika? Majibu ni yapi.
Ningekuwa shabiki wa Yanga nisingekubali hili swala liishe kirahisi hivi ningehoji mpaka mmoja akubali alikosea.
Kumtangaza Morrison kwenye Siku ya mwananci alafu baadae viongozi wanakaa kimya ni kuonyesha jinsi gani baadhi ya timu zinawadharau sana wafuasi wao na kuwaona hawana akili.
Yanga naomba muwe mnatupa Updates kila wakati mmefikia wapi kwenye hili jambo, maana mmeshatuaminisha kuwa mmeonewa.
Hili swala likiisha kirahisi hivi ni Ishara ya dharau kubwa sana kwa soka la Tanzania, ni kuonyesha wazi kuwa Mashabiki wa soka Tanzania unaweza kuwafanya chochote wakakuamini.
Kama viongozi wa Yanga kuna mahali mlikosea katika hili ombeni radhi na mkiri kuwa mlidanganya watu kuanzia mwanzo wa hili swala, mtaeleweka na mtaipa heshima timu yenu, msiogope hakuna atakayewaambia mjiuzulu.
Wanahabari tusikae kimya kama kawaida yetu maana na sisi tulifanya kazi ya kureport kinachosemwa tu hatukuchukua muda wetu kuchimba ukweli wa jambo. na sasa tumenyamaza kama hakujatokea kitu.Mimi sitanyamaza.
Sawa maamuzi ya kamati tunayo na yanasema wazi kuwa kulikuwa na shida upande wa Yanga ila nataka na yanga wakiri wazi hilo ili soka letu liwe safi..
Ntawakumbusha hili kila nikikumbuka