Nadhani ungeiangalia tasnia ya filamu kwa eneo paaana zaidi....coz kwa hali ilivyo bongo sioni tatizo kabisa kwa hayo wanayofanya......let them do it.
Hebu jiulize kwanza huyo unayemtaja kama muongozaji...yeye ni nani (ingawa nadhani ulitaka kumaaanisha producer)...yeye mwenyewe amejisikia tu kuwa film producer, so ameingia huko kwa sababu ametamani kufanya hicho anachofanya...so kumlaumu ni kumuonea.
Nadhani tuendelee kusubiri tu na kuomba Mungu, wakati utafika na tukawa na tasnia ya filamu Tanzania..mambo yote yanayohitajika kwenye filamu yatafanyika automatically....namaanisha tutakuwa na Film producers, Film Directors, Cinematografers, Actors, Screen writers n.k.
Unachofanya hapa ni kusubiri MACHUNGWA kwenye mti wa MTARAKWA, kisha unaamua kuulaumu huo mtarakwa.................you cant be serious man..