SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Wakuu nimekaa na kujiuliza swali kwanin waongozaj wa filamu wa kibongo wanawatumia wanawake warembo baada ya wenye vipaji kama mwanainda,monalisa,tea na wengine wenye vipaj vya fani hiyo.Je ni soko linaitaji hvyo au n tamaa tu za kuuza filamu kisa wapo warembo ambao hawaoni hasara kwa kuwa hawayajui maadili ya uigizaji.
kwakwo mdau unaonaje je mabint warembo wazidi kutumika au mwanamke mwenye kipaj ndio apewe kipaumbele
kwakwo mdau unaonaje je mabint warembo wazidi kutumika au mwanamke mwenye kipaj ndio apewe kipaumbele