Filamu za ngono zinapunguza uwezo?

Filamu za ngono zinapunguza uwezo?

Jiupushe na kuqngalia picha za wadada wanaokaa uchi, ingia mtandaoni kwa sababu maalum, jichanganye na marafiki zako, usipende kukaa peke yako chumbanj kww muda mrefu ingia chumbani kam unahitaji kupumzika,
FANYA SANA IBADW
Niushaur wenye faida namanufaa sna kaka nshukuran
 
Kaa si chini ya miezi sita bila kuwaza ngono,kuangalia ngono ,kupiga punyeto,kutamani mwanamke..yan usisimashishe miezi 6 ndo tiba yake mzee...ub9ngo utajirudi taratibu utapona...kama umeanza kuangalia ukubwani ht miezi 3 inatosha
 
Mmmmmh! Huu ushauri umethibitishwa na maabara gani?
 
porno ni mbaya saaaaana...hasa ukiwa unaangalia hlf unapiga na nyeto..yani zinakuharibu mara dufu!

bado natafuta tiba na mimi ya huu mtihani...saa hivi nimekaa nazo mbali hasaaa porno,yani ubongo wng naufundisha kukataa hizi mambo na hata nikiona kwa bahati mby bc siruhusu ubongo wng ureact,yani najifanya km niimeona kitu cha kawaida tu ili nisianze kutamani na hatimae kurudi nilikotoka.
 
Ni swala la kuomba sana Mungu atuepushe...Hili janga Ni zaidi ya tatizo mbaya zaidi mpk wazee wenye smartphone nao washakuwa addicted na huu upuzi .Ni hatari kimwili Na kiroho pia.
 
fanya mazoezi, jitaidi kula vyakula halisi visivyokobolewa na Sivyo vya kiwandani , matunda , mboga mboga.
Pata muda mwingi wa kupumzika na bila kusahau kufanya Ibada kwa kiwango cha juu sana.
 
porno ni mbaya saaaaana...hasa ukiwa unaangalia hlf unapiga na nyeto..yani zinakuharibu mara dufu!

bado natafuta tiba na mimi ya huu mtihani...saa hivi nimekaa nazo mbali hasaaa porno,yani ubongo wng naufundisha kukataa hizi mambo na hata nikiona kwa bahati mby bc siruhusu ubongo wng ureact,yani najifanya km niimeona kitu cha kawaida tu ili nisianze kutamani na hatimae kurudi nilikotoka.
Hili ni janga kubwa sana japo halizungumzwi sana, kwa tulioso boyz kuangalia porn ilikuwa sherehe
 
25545ed93236aad6941c197021e3996b.jpg
 
Back
Top Bottom