mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo.
Inafahamika kuwa mzee wa kasumba wiki kadhaa zilizopita alifukuzwa kazini kama mbwa na kuanza kutangatanga na njia, jambo ambalo lilinipelekea kuisafirisha kwanza familia kurudi makwao ili nijipange upya.
Lakini kadiri siku zinavyokwenda maisha ndivyo yanazidi kubana na hali ya mahusiano inaanza kutetereka siku hadi siku. Sio mara ya kwanza kwa mama wa mtoto wangu kwenda kwao, lakini safari hii alikwenda kwasababu hii ya dharura ya kuondolewa kazini.
Hizi ni baadhi ya tabia mpya zilizozuka baada ya kusafiri awamu hii ya mfilisiko.
1. Anapotoka kwenda mahala mara nyingi haagi (kama zamani)
2. Anadai vijana wanamtongoza sana hivyo ni changamoto sana kwake. Eti amewakataa (hajawahi kunambia kitu kama hichi, ni kweli hapo awali alikiwa hatongozwi au dharau tu?)
Vijana zaidi ya 6 wamemtaka (eti)
3. Alidai amepata kazi sehemu nyingine ya mbali ila nimemkataza. Amekubali japo kishingo upande
4. Mawasiliano ya mahaba kidogo yamepungua, tofauti na zamani.
5. Anadai hana hisia za mapenz kwa sasa kutokana na ugumu wa masha tulionao.
6. Kuna muda anadai anatumiwa pesa na kaka yake ambaye yuko huko mjini daslama.
7. Ikifika usiku huwahi sana kulala tofauti na zamani kwa madai kuwa huwa anachoka sana na shughuli za mchana kutwa.
Basi tu kuna (tumabadiliko) vimabadiliko vingi ambavyo nahisi wazi kabisa chanzo chake ni kuyumba kwangu kiuchumi.
Dalili ambazo zinabashiri juu ya kuonekana kushindwa kuvumilia maisha magumi. Nahisi vijana wameanza kumwaga tui maeneo ya hifadhi yangu.
(Haya maneno walinena watu wa zamaniiiii)
(Ukiwa mjanja Kuchapiwa ni siri ya ndani)
MSIMAMO WANGU KWAKE NI UPI?
Jana nilimpigia simu na kumkumbusha juu ya hali tunayopitia sambamba na kumkumbusha kuwa na uvumilivu.
Pia nikamuweka wazi kuwa, ajichunge avumilie na mambo yatakuwa sawa kwa uwezo wa Mungu. Ila endapo nikigundua kuwa kuna mwana anabadilishana naye vikojoleo basi hiyo ndio itakuwa tiketi ya mwisho wa mkataba baina yetu.
Alionesha kuhuzunika kwa maneno yale kumuingia. Aliitikia tu sawa nimekuelewa.
Nikaongezea kuwa - Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho hivyo ukihisi umenichoka wala usiwe na haja ya kunambia, ni kuanza tabia tu ya umalaya tabia ambayo huwa siwezi kuivumilia kwa mwanamke hata tukiwa tumezaa watoto 21.
Baada ya kumaliza naye mjadala ule, kuna usemi wa wahenga ukanijia kichwani.
"FILISIKA TUJIE TABIA YA MKEO"
Najua mnasubiri nipate pesa ili mjue tabia yangu[emoji38].
Basi niseme tu
sharauti sana kwenu nyote