kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Akibadilika tafuta wa kuendana naye usikomae na yasiyowezekana. . .
Mke wa kweli atakuvumilia kwenye shida na matatizo ni kweli kabisa
Sasa ukifilisika maisha yatakuaje mkuu mi nafikiri komaa na maisha usifilisike manake ukiijua tabia halisi ya mkeo itakua too late kufanya mabadiliko fikiria huna hela na maisha yamekupiga si utatamani kurest in peace.
Akibadilika tafuta wa kuendana naye usikomae na yasiyowezekana. . .
word..............
Omba apate pesa ujue tabia ya mumeo, utajua uwezo na kiwango chake cha kutongoza kikoje
Utajua ujasiri wake wa kulala nje na kuchelewa kurudi
Na ndo utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume handsome jinsi atavyokuwa anawabadilisha...
Pia utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume mwenye roho nzuri na moyo wa kutoa misaada kwa jinsi atavyokuwa anahonga huko nje...
Kama Muislamu ndo utajua jinsi mumeo alivyoishika dini kuwa ingawa haswali swala tano lakini mke wa pili utaletewa....
Hujasomeka, fafanua zaidiMke anatongozwa uko na anakataa ikiwemo sababu ya iyo hela uliyokua nayo, sasa saivi haipo akae afanye nini
Omba apate pesa ujue tabia ya mumeo, utajua uwezo na kiwango chake cha kutongoza kikoje
Utajua ujasiri wake wa kulala nje na kuchelewa kurudi
Na ndo utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume handsome jinsi atavyokuwa anawabadilisha...
Pia utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume mwenye roho nzuri na moyo wa kutoa misaada kwa jinsi atavyokuwa anahonga huko nje...
Kama Muislamu ndo utajua jinsi mumeo alivyoishika dini kuwa ingawa haswali swala tano lakini mke wa pili utaletewa....
Tena ukizubaa anabeba na vitu vya ndaniMke feki atasepa tu.