Filisika ujue tabia ya mkeo

Filisika ujue tabia ya mkeo

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,462
Utajua ana uvumilivu kiasi gani.
Utajua kama ni pesa zilimvuta kwako au mapenzi ya kweli.
Utajua mapenzi yanapungua, yanaongezeka ama kama siku zote.
Utajua ...
 
Na wanaume je?????wake zao wakifilisika??lol
 
Sasa ukifilisika maisha yatakuaje mkuu mi nafikiri komaa na maisha usifilisike manake ukiijua tabia halisi ya mkeo itakua too late kufanya mabadiliko fikiria huna hela na maisha yamekupiga si utatamani kurest in peace.
 
Kwa nini a rest in (pieces???!) wakati mwanamke hakuzaliwa naye??!!
Kama maisha yemegomea hesabu flani mwanamke akizingua bwaga achana naye aanze upya kupanga hesabu zake, anaweza kuganda akateseka zaid na zaid sasa kwa nini??!!

Wanaume, mwanamke akikusumbua sababu ikiwa ni kama hii kata minyororo acha aende zake, usikumbatie miiba!!!
 
Omba apate pesa ujue tabia ya mumeo, utajua uwezo na kiwango chake cha kutongoza kikoje
Utajua ujasiri wake wa kulala nje na kuchelewa kurudi
Na ndo utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume handsome jinsi atavyokuwa anawabadilisha...

Pia utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume mwenye roho nzuri na moyo wa kutoa misaada kwa jinsi atavyokuwa anahonga huko nje...

Kama Muislamu ndo utajua jinsi mumeo alivyoishika dini kuwa ingawa haswali swala tano lakini mke wa pili utaletewa....
 
ha ha ha... nimependa mistari 3 ya mwisho
 
Mke anatongozwa uko na anakataa ikiwemo sababu ya iyo hela uliyokua nayo, sasa saivi haipo akae afanye nini
 
Omba apate pesa ujue tabia ya mumeo, utajua uwezo na kiwango chake cha kutongoza kikoje
Utajua ujasiri wake wa kulala nje na kuchelewa kurudi
Na ndo utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume handsome jinsi atavyokuwa anawabadilisha...

Pia utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume mwenye roho nzuri na moyo wa kutoa misaada kwa jinsi atavyokuwa anahonga huko nje...

Kama Muislamu ndo utajua jinsi mumeo alivyoishika dini kuwa ingawa haswali swala tano lakini mke wa pili utaletewa....

kwahiyo wanawake waombe waume zao waendelee kuwa maskini ili wasibadili tabia.
 
Iko hivi: Mwanaume akiwa na hela posibbility ya Kupiga Nje ni asilimia 99% point 99999.
Na mwanaume akikosa hela/kufilisika then Mwanamke wake kugongwa nje ni asilimia 99.99999%
Tafakari!!! Chukua Hatua!!!
 
When woman love.......................

NB:Ukiona mkeo anapaparika kama anataka kutokwa roho kwa ajili ya upungufu wa kipato ujue umeoa Sex partner na sio mke!
 
.....halina ubishi hilo nakumbana na hilo muda huu...mwanamke bila hela :A S 11:
 
Back
Top Bottom