OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
.....halina ubishi hilo nakumbana na hilo muda huu...mwanamke bila hela :A S 11:
Amina!!kwahiyo wanawake waombe waume zao waendelee kuwa maskini ili wasibadili tabia.
Word mkuuKusanya fahamu zako. . . . .amua mara moja kwa maisha yako yooote kama kweli sababu ni pesa mtimue yaani usione huruma hata chembe na watoto kama wadogo muachie aende nao sababu kama kweli mpenda pesa atakutesa na kukufedhehesha saana tu dunia uione chungu!!!!
Kama una roho ngumu hama wewe muachie kila kitu jikusanye kaanze upya!!!
Watoto wakikua kama una mapenzi nao ya dhati na ulitumia jasho na muda kuwalea hiyo mbegu haifi kamwe watakuja tu kwako!!!!
Be a man and move on!!!
Iko hivi: Mwanaume akiwa na hela posibbility ya Kupiga Nje ni asilimia 99% point 99999.
Na mwanaume akikosa hela/kufilisika then Mwanamke wake kugongwa nje ni asilimia 99.99999%
Tafakari!!! Chukua Hatua!!!
Mmh...hii research ni ya wapi?? Wanawake wamebashiriwa uvimilivu,wanaume.wamebashiriwa kujikweza upo???
Kusanya fahamu zako. . . . .amua mara moja kwa maisha yako yooote kama kweli sababu ni pesa mtimue yaani usione huruma hata chembe na watoto kama wadogo muachie aende nao sababu kama kweli mpenda pesa atakutesa na kukufedhehesha saana tu dunia uione chungu!!!!
Kama una roho ngumu hama wewe muachie kila kitu jikusanye kaanze upya!!!
Watoto wakikua kama una mapenzi nao ya dhati na ulitumia jasho na muda kuwalea hiyo mbegu haifi kamwe watakuja tu kwako!!!!
Be a man and move on!!!
Mmh...hii research ni ya wapi?? Wanawake wamebashiriwa uvimilivu,wanaume.wamebashiriwa kujikweza upo???
Utajua ana uvumilivu kiasi gani.
Utajua kama ni pesa zilimvuta kwako au mapenzi ya kweli.
Utajua mapenzi yanapungua, yanaongezeka ama kama siku zote.
Utajua ...
acha tu nisijue tabia yake.....ILA KUFILISIKA HAPANA MKUU
.....halina ubishi hilo nakumbana na hilo muda huu...mwanamke bila hela :A S 11:
Filisika ujue tabia ya mkeo!pata pesa tujue tabia yako...
Wake zao wakifutuka matumboNa wanaume je?????wake zao wakifilisika??lol