OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
.....halina ubishi hilo nakumbana na hilo muda huu...mwanamke bila hela :A S 11:
Kusanya fahamu zako. . . . .amua mara moja kwa maisha yako yooote kama kweli sababu ni pesa mtimue yaani usione huruma hata chembe na watoto kama wadogo muachie aende nao sababu kama kweli mpenda pesa atakutesa na kukufedhehesha saana tu dunia uione chungu!!!!
Kama una roho ngumu hama wewe muachie kila kitu jikusanye kaanze upya!!!
Watoto wakikua kama una mapenzi nao ya dhati na ulitumia jasho na muda kuwalea hiyo mbegu haifi kamwe watakuja tu kwako!!!!
Be a man and move on!!!