kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
- Thread starter
-
- #41
Kwa baadhi ya majibu yaliyo ndani ya thread hii inaonyesha wazi kuwa wife wangu yumo ndani ya jf.
Huwezi kuijua ukiwa na kila kitu.
Kwa baadhi ya majibu yaliyo ndani ya thread hii inaonyesha wazi kuwa wife wangu yumo ndani ya jf.
Hahahaha mkuu umenifurahisha sana hivi hujawahi ona mwanaume anajitundika kisa mwanamke. Kumuacha mtu uliemzoea na hasa kama ulimpenda kwa dhati ukitilia maanani hii side mbovu umeigundua baada ya kua juu ya mawe usiombe mkuu. Sio rahisi kumuacha aende zake na wewe ukabaki poa tu wanaofanya hivyo na kubaki sawa sawa si kila mtu. Kuna wengine hali hii huwaathili sana kisaikolojia hata kufikia hali ya kua kama kichaaa chezea kupenda weye.Kwa nini a rest in (pieces???!) wakati mwanamke hakuzaliwa naye??!!
Kama maisha yemegomea hesabu flani mwanamke akizingua bwaga achana naye aanze upya kupanga hesabu zake, anaweza kuganda akateseka zaid na zaid sasa kwa nini??!!
Wanaume, mwanamke akikusumbua sababu ikiwa ni kama hii kata minyororo acha aende zake, usikumbatie miiba!!!
Ukipata mwanamke wa aina hii jua umepata lulu tena itunze manake wa hivyo hawapatikani kirahisi siku hizi, si unaona michango yao humu kila wakati wanasema wanatafuta mtu mwenye nacho . Sasa hebu fikiria kakukuta full viyoyozi kila kona halafu ghafla bin vuu kila kitu upside down haki ya nani hapo lazima uone rangi zote.Mke wa kweli atakuvumilia kwenye shida na matatizo ni kweli kabisa
Ukiyajua hayo hutoacha kutafuta pesa kwa nguvu zote ili usifirisike
Nadhan mume ambae ni akipata pesa ana waruka ni limbukeni ,mshamba sana na hajui anachofanya.Omba apate pesa ujue tabia ya mumeo, utajua uwezo na kiwango chake cha kutongoza kikoje
Utajua ujasiri wake wa kulala nje na kuchelewa kurudi
Na ndo utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume handsome jinsi atavyokuwa anawabadilisha...
Pia utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume mwenye roho nzuri na moyo wa kutoa misaada kwa jinsi atavyokuwa anahonga huko nje...
Kama Muislamu ndo utajua jinsi mumeo alivyoishika dini kuwa ingawa haswali swala tano lakini mke wa pili utaletewa....
Nope huyo atakuwa ni real. Sababu mwanamke real yupo, na nimewah kuwa na mmoja. Wavumiliv wapo tena wanakuombea na kukupa mawazo ya kutoka. Sema tatizo ni wachachesiku hizi kuolewa ni ujasiliamali, unategemea mwanamke aendelee kukupenda wakati hauna kitu, yaani cha maana ulichobakiwa nacho ni teticles na pe....s tu! mwanamke akiendelea kukupenda ktkt mazingira kama hayo, huyo atakuwa ni mnafiki!
Yes kuhusu security.. tatizo huwa linakuja ni kwamba mwanamke akienda kwingine anapeleka na hisia huko huko. Na ni rahisi sana kujua mwanamke kuwa hakupendi tena.Mwanamke yoyote anahitaji security katika maisha yake na wanae! Ukiweza timiza hilo atakupenda milele ingawa anaweza kuchepuka, lakini ni kudeal na situation za maisha mfano hapati ngono vzr hom,au anaona humkubali au anataka aone kama bado analipa
Ila ataendelea kukupenda, ila uanaume wako ukiisha basi habari yako imeisha