Filisika ujue tabia ya mkeo

Filisika ujue tabia ya mkeo

Kwa baadhi ya majibu yaliyo ndani ya thread hii inaonyesha wazi kuwa wife wangu yumo ndani ya jf.

Funguka mkuu, majibu gani yamekufanye uone kama shem yupo humu jf?
 
Kwa baadhi ya majibu yaliyo ndani ya thread hii inaonyesha wazi kuwa wife wangu yumo ndani ya jf.

Hehehee baba nanihii ushanistukiaa eenh, halafu hii ndo ID yako, subiri nirudi nyumbani..
 
Ukiyajua hayo hutoacha kutafuta pesa kwa nguvu zote ili usifirisike
 
Kwa nini a rest in (pieces???!) wakati mwanamke hakuzaliwa naye??!!
Kama maisha yemegomea hesabu flani mwanamke akizingua bwaga achana naye aanze upya kupanga hesabu zake, anaweza kuganda akateseka zaid na zaid sasa kwa nini??!!

Wanaume, mwanamke akikusumbua sababu ikiwa ni kama hii kata minyororo acha aende zake, usikumbatie miiba!!!
Hahahaha mkuu umenifurahisha sana hivi hujawahi ona mwanaume anajitundika kisa mwanamke. Kumuacha mtu uliemzoea na hasa kama ulimpenda kwa dhati ukitilia maanani hii side mbovu umeigundua baada ya kua juu ya mawe usiombe mkuu. Sio rahisi kumuacha aende zake na wewe ukabaki poa tu wanaofanya hivyo na kubaki sawa sawa si kila mtu. Kuna wengine hali hii huwaathili sana kisaikolojia hata kufikia hali ya kua kama kichaaa chezea kupenda weye.
 
Mke wa kweli atakuvumilia kwenye shida na matatizo ni kweli kabisa
Ukipata mwanamke wa aina hii jua umepata lulu tena itunze manake wa hivyo hawapatikani kirahisi siku hizi, si unaona michango yao humu kila wakati wanasema wanatafuta mtu mwenye nacho . Sasa hebu fikiria kakukuta full viyoyozi kila kona halafu ghafla bin vuu kila kitu upside down haki ya nani hapo lazima uone rangi zote.
 
Hahaaa nimecheka Sana,so mme akikosa pesa ndukiii..
naona mnaongea tu,ndoa ni zaidi ya pesa,upendo ni kila kitu
akianguka mfute vumbi,mpe moyo na mwambie Kuna kusimama tena,
watu hupitia challenge na huinuka na kuanza na mahali pia kurekebisha
walipojikwaa na safari huendelea.
 
Omba apate pesa ujue tabia ya mumeo, utajua uwezo na kiwango chake cha kutongoza kikoje
Utajua ujasiri wake wa kulala nje na kuchelewa kurudi
Na ndo utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume handsome jinsi atavyokuwa anawabadilisha...

Pia utajua jinsi Mungu alivyokujaalia mume mwenye roho nzuri na moyo wa kutoa misaada kwa jinsi atavyokuwa anahonga huko nje...

Kama Muislamu ndo utajua jinsi mumeo alivyoishika dini kuwa ingawa haswali swala tano lakini mke wa pili utaletewa....
Nadhan mume ambae ni akipata pesa ana waruka ni limbukeni ,mshamba sana na hajui anachofanya.

Namshukuru Mungu kwa utulivu alionijalia
 
siku hizi kuolewa ni ujasiliamali, unategemea mwanamke aendelee kukupenda wakati hauna kitu, yaani cha maana ulichobakiwa nacho ni teticles na pe....s tu! mwanamke akiendelea kukupenda ktkt mazingira kama hayo, huyo atakuwa ni mnafiki!
Nope huyo atakuwa ni real. Sababu mwanamke real yupo, na nimewah kuwa na mmoja. Wavumiliv wapo tena wanakuombea na kukupa mawazo ya kutoka. Sema tatizo ni wachache
 
Mwanamke yoyote anahitaji security katika maisha yake na wanae! Ukiweza timiza hilo atakupenda milele ingawa anaweza kuchepuka, lakini ni kudeal na situation za maisha mfano hapati ngono vzr hom,au anaona humkubali au anataka aone kama bado analipa
Ila ataendelea kukupenda, ila uanaume wako ukiisha basi habari yako imeisha
Yes kuhusu security.. tatizo huwa linakuja ni kwamba mwanamke akienda kwingine anapeleka na hisia huko huko. Na ni rahisi sana kujua mwanamke kuwa hakupendi tena.
 
Back
Top Bottom