Plot4Rent Filling station

Plot4Rent Filling station

knaan

Senior Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
143
Reaction score
26
Natafuta kampuni au mwekezaji yoyote wa kujenga kituo cha mafuta katika eneo langu .


eneo lipo katika barabara kuu Arusha-Dodoma(maelezo zaidi picha na sehemu husika Dm nitakupa)
 
kukodisha ndo mpango mzuri boss wangu.
 
Asante
Kama kuna dalali naomba tuwasiliane .
 
Dalali unamwachaje mkuu?
Naomba uelewe na dalali nae anataka mkataba wa kile utakachokipata for life
Kazi tunae
 
wakuu kama kuna dalali tuwasiliane
bado nauhitaji sana.
 
Back
Top Bottom