Fina Mango: Ujio mpya Redioni

Fina Mango: Ujio mpya Redioni

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm Miaka Miwili Iliyopita sasa arudi tena hewani baada ya kuacha utangazaji kwa muda , sasa utamsikia kupitia Redio ya Magic Fm ,Atakuwa akirusha kipindi Kitakacho itwa Makutano kuanzia Mwezi wa nane mwaka huu-Stay Tuned

MAKUTANO-Fina.jpg
 
Lau marsha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwani ni nini kilimuondoa kule aliokuwa akiitwa First Lady? je kuna ugomvi wowote kati yake na Meneja?
 
Fina???Kama unasoma hapa tuwasiliane...nina mchongo nnataka tutete kidogo...!
 
hivi watu bado mnasikiliza radio! no offence!
 
Kweli Fina Mango, a.k.a First lady una mashabiki wengi na wengi walikumiss! Kizuri cha jiuza....
 
Back
Top Bottom