Fina Mango

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Habari wanajamvi,
Sina uhakika, inawezekana uzi kama huu umewahi kuletwa jamvini, lakini nimependa nijuzwe kuhusu huyu Mtangazaji.
Namkumbuka kipindi hicho akiwa na Masud Kipanya wakiwa wanaendesha kipindi cha Power Breakfast kwenye Redio ya Watu.
Walikuwa wanabamba ipasavyo, tofauti na hawa wa sasa.
Je, Fina Mango yuko wapi na anafanya nini?
 
Mshaanza.
Hebu kaoge uende kazini.
Umbea hauna Posho.
 
Yuko na kibabu chake cha kizungu Umetumwa na Ru Gay nn?
 
Nahisi yuko mjini anahangaika na masiha kama tulivyo wabongo wengi, Bongo tambarare hakuna kurara mra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…