Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,632
- 1,773
Habari wanajamvi,
Sina uhakika, inawezekana uzi kama huu umewahi kuletwa jamvini, lakini nimependa nijuzwe kuhusu huyu Mtangazaji.
Namkumbuka kipindi hicho akiwa na Masud Kipanya wakiwa wanaendesha kipindi cha Power Breakfast kwenye Redio ya Watu.
Walikuwa wanabamba ipasavyo, tofauti na hawa wa sasa.
Je, Fina Mango yuko wapi na anafanya nini?