Fina mango

Fina mango

hahaha shosti ndiyo nipo huko ni page ya ngapi maana kuna page kama 28 hivi na siwezi kusoma each page si unajua....duuh nipo anxious kujua ni nani huyo mtu hahahaha ok wait ngoja niendelee kuangalia then nitathibitisha...

ngoja ni-refresh then nikwambie....

page 8......na kuendelea
 
Hebu niambie wangu ipo wapi hiyo MR ni mwanaume kwani mimi GAY? My my my GOD

ahaha shem umeshtukia eeh huyo Maria Roza ana sound kama Yo yo vile...maana mwanamke gani anakua na fanasy saa nyingine na wanawake wenzake?...
 
ahaha shem umeshtukia eeh huyo Maria Roza ana sound kama Yo yo vile...maana mwanamke gani anakua na fanasy saa nyingine na wanawake wenzake?...

cheki pg 8 na kuendelea....

@Masa hata wewe una akili sana, its only baada ya angalizo lako ndo nikaanza kustuka!!!!
 
cheki pg 8 na kuendelea....

@Masa hata wewe una akili sana, its only baada ya angalizo lako ndo nikaanza kustuka!!!!

hahahaha nimeona shosti! uwiii umenifurahisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa una akili kupita kiasi shosti wangu no wonder u r my shostito......bravooooooooooooooooo!
 
Back
Top Bottom