hahaha shosti ndiyo nipo huko ni page ya ngapi maana kuna page kama 28 hivi na siwezi kusoma each page si unajua....duuh nipo anxious kujua ni nani huyo mtu hahahaha ok wait ngoja niendelee kuangalia then nitathibitisha...
Hebu niambie wangu ipo wapi hiyo MR ni mwanaume kwani mimi GAY? My my my GOD
ahaha shem umeshtukia eeh huyo Maria Roza ana sound kama Yo yo vile...maana mwanamke gani anakua na fanasy saa nyingine na wanawake wenzake?...
ahaha shem umeshtukia eeh huyo Maria Roza ana sound kama Yo yo vile...maana mwanamke gani anakua na fanasy saa nyingine na wanawake wenzake?...
HAhahahahaha una akili sana wewe!
cheki pg 8 na kuendelea....
@Masa hata wewe una akili sana, its only baada ya angalizo lako ndo nikaanza kustuka!!!!
cheki pg 8 na kuendelea....
@Masa hata wewe una akili sana, its only baada ya angalizo lako ndo nikaanza kustuka!!!!
We can kiss after kwaresima! LOL
fina mango anajishughulisha na kampuni yake binafsi!