Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 Aug 18, 2025 #1 Sio habari nzuri na huwa sipendi kutia watu matumaini Naandika kile nachokiamin Naoona final ya chan Tanzania vs 🇰🇪 Ft Kenya anakuwa bingwa All dbest Mawazoo haya n yangu hayafungamani na upande wowote pls
Sio habari nzuri na huwa sipendi kutia watu matumaini Naandika kile nachokiamin Naoona final ya chan Tanzania vs 🇰🇪 Ft Kenya anakuwa bingwa All dbest Mawazoo haya n yangu hayafungamani na upande wowote pls
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 83,659 Reaction score 90,151 Aug 18, 2025 #2 Pdidy said: SIO HABARI NZURI NA HUWA SIPENDI KUTIA WATU MATUMAINI NAANDIKA KILE NACHOKIAMIN NAOONA FINAL YA CHAN TANZANIA VS 🇰🇪 FT KENYA ANAKUWA BINGWA ALL DBEST MAWAZOO HAYA N YANGU HAYAFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE PLS Click to expand... Kuifunga Morocco labda tuhonge
Pdidy said: SIO HABARI NZURI NA HUWA SIPENDI KUTIA WATU MATUMAINI NAANDIKA KILE NACHOKIAMIN NAOONA FINAL YA CHAN TANZANIA VS 🇰🇪 FT KENYA ANAKUWA BINGWA ALL DBEST MAWAZOO HAYA N YANGU HAYAFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE PLS Click to expand... Kuifunga Morocco labda tuhonge
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 Aug 18, 2025 Thread starter #3 ChoiceVariable said: Kuifunga Morocco labda tuhonge Click to expand... Analikaaaaa mkuu hataaa kwa penalty Amejaaa kwenyeee mfumooo wa BM ATAJUTAAAA ANDIKA TAR YA LEOO
ChoiceVariable said: Kuifunga Morocco labda tuhonge Click to expand... Analikaaaaa mkuu hataaa kwa penalty Amejaaa kwenyeee mfumooo wa BM ATAJUTAAAA ANDIKA TAR YA LEOO
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Aug 18, 2025 #4 Kabla hujaifunga Morocco unaiwaza fainali!!
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,434 Reaction score 1,930 Aug 19, 2025 #5 Bingwa Sudan wewe