the bidhaa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 268
- 761
Wakuu hii mnaionaje?[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio,,mkamalizane kwanza na wazee wa amapiano kwaoWanayanga tushaanza kushona suti za kusherekea kombe la shirikisho make hatumuoni wa kutuzuia!!
Hao kazi kubwa tuliimaliza lupaso kule bondeni tunaenda kuwachezesha mapiano tu!Au sio,,mkamalizane kwanza na wazee wa amapiano kwao
sawa mkuu kila la heriHao kazi kubwa tuliimaliza lupaso kule bondeni tunaenda kuwachezesha mapiano tu!