Ukweli kama Huu mnausemaga wachache sana...Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi
SEMI FINAL
Mexico vs Germany
Portugal vs CHILE
Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI basi yangemkuta ya Brazil kwa kula goli zaidi ya 7
BINAFSI KATI YA UJERUMANI NA CHILE ATAKAYESHINDA KOMBE HILI YOTE SAWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi
SEMI FINAL
Mexico vs Germany
Portugal vs CHILE
Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI basi yangemkuta ya Brazil kwa kula goli zaidi ya 7
BINAFSI KATI YA UJERUMANI NA CHILE ATAKAYESHINDA KOMBE HILI YOTE SAWA
Hili povu ni la ki-makinikia!Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi
SEMI FINAL
Mexico vs Germany
Portugal vs CHILE
Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI basi yangemkuta ya Brazil kwa kula goli zaidi ya 7
BINAFSI KATI YA UJERUMANI NA CHILE ATAKAYESHINDA KOMBE HILI YOTE SAWA
Hivi hili kombe hutu tu-andunje alishawahi kucheza toka azaliwe miaka 30 iliyopita???
aise!!Final ni Chile vs Portugal