Final ni Ujerumani vs Chile kombe la Mabara

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi

SEMI FINAL

Mexico vs Germany

Portugal vs CHILE

Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI basi yangemkuta ya Brazil kwa kula goli zaidi ya 7

BINAFSI KATI YA UJERUMANI NA CHILE ATAKAYESHINDA KOMBE HILI YOTE SAWA
 
Ukweli kama Huu mnausemaga wachache sana...
 
Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi

SEMI FINAL

Mexico vs Germany

Portugal vs CHILE

Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI basi yangemkuta ya Brazil kwa kula goli zaidi ya 7

BINAFSI KATI YA UJERUMANI NA CHILE ATAKAYESHINDA KOMBE HILI YOTE SAWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi

SEMI FINAL

Mexico vs Germany

Portugal vs CHILE

Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI basi yangemkuta ya Brazil kwa kula goli zaidi ya 7

BINAFSI KATI YA UJERUMANI NA CHILE ATAKAYESHINDA KOMBE HILI YOTE SAWA
Hili povu ni la ki-makinikia!

Roho mbayaaaa, hili kombe anabeba usimpenda cr7 kàjinyongeee shwaini!
 
Ni kweli nami naamin final ni Germany na Chile...
Portugal simuoni akimfunga Chile but anything can happen.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hili povu ni la ki-makinikia!

Roho mbayaaaa, hili kombe anabeba usimpenda cr7 kàjinyongeee shwaini!
78b9379a862471d28703ebf1eec61ed3.jpg
 
Watu mnaanza kumwaga mapovu mapema
Subiri hio mechi ya portugal n Chile iishe unaweza kuja kubadili jina la hio thread....
 
Chile uyu! Ambae jana kaponea tundu la sindano! Simuwazii KABISA kutinga fainali labda kwavile mda mwingine mpira ni bahati.
 
Ushajiandaa kisaikolojia
 
Hivi hili kombe hutu tu-andunje alishawahi kucheza toka azaliwe miaka 30 iliyopita???

Pogba wa tz nchi imekushinda!
KUNA TETESI ETI RONALDO ATAPIGA PENALTY YAKE KESHO[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom