Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Yule kijana mghana kaingia.Ngoma ilitakiwa iwe 4-2....
Toka football linaanza kuchezwa duniani, USA haijawahi kuifunga Brazil hata kutoka sare katika mashindano yeyote yale.
Unbelievable! Brazil wameshinda