Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Toka football linaanza kuchezwa duniani, USA haijawahi kuifunga Brazil hata kutoka sare katika mashindano yeyote yale.

Mwaka 1998 US alimfunga Brazil 1-0 kwenye mechi semi final za Concacaf Gold Cup
 
Ebanae aliyesema ngoma ya watoto haikeshi hakukosea...!!
 
US wamefungwa baada ya kufanya kazi kubwa sana. Tunachoweza kujifunza ni kwamba hata sisi (TZ) tunaweza kucheza soka safi kama tukiamua kuinvest. US wamepanda sana, walikuwa na soka baya lenye kukinaisha hata kuangalia. So, TFF pull up your socks...
 
hapo ilikuwa mpira wa vipaji na wakuforce, kama kawa nature imechukua mkondo wake
 
Jamaa wanapiga maombi ile mbaya na T-shirt zao I LOVE JESUS...
 
Unbelievable! Brazil wameshinda

Heheeh ata wakati wanaifunga Egypt na Spain tulisema unbelievable.

Duh ngoja nile humble pie maana niliwarule out wabrazil mapema(baada ya goli la pili)..Ila leo wamecheza vizuri sana kuliko mechi ya juzi.

Hongera kwa wana samba sasa jezi langu la njano linaweza kuvalika.
 
Mnaona mabinti wa Imarati kwa background??? Au ni macho yangu tu??
 
Back
Top Bottom