Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

kwahio waheshimiwa kama usa akishinda leo tumtegemee kuwa threat next year kwenye world cup au mnaonaje?
 
USA walianza na Spain (2 -0), sasa Brazil nao ulimi nje.

Hivi kiwango cha USA kitakuwa kimepanda saa au Brazil and Spain are just not good enough!??
 
Hahahahahaha

Goooooooooooaaaaaaaaaal

Fabiano did it!

Brazil 1 - USA 2
 
sasa hapa ndio wamarekani wataanza ku open up space na brazil atapata kufunga zaidi.

Goli limekuja mapema sana
 
Lakini nadhani ikitokea US wakapata bao la tatu basi watawapa kazi ngumu sana Brazil, otherwise kazi bado ngumu kwao
 
SAF sijui anamjua huyu jamaa? Sevilla watakubali hata visenti vichache tu.
 
Naona washabiki wa Brazil wengi sana humu ndani.......
 
Brazil wamefanya vema kufunga goli mapema, hii imepelekea wao kuwa na moyo zaidi wa kusawazisha jingine
 
SAF sijui anamjua huyu jamaa? Sevilla watakubali hata visenti vichache tu.
Hahahaha unadhani Sevilla hawakujua ana umuhimu kama alivyo sasa?

Nadhani anastahili kuja Chelsea kujiunga na "The Blues"
 
wenger alikuwa bado anamuhitaji gilberto silva sema mzee nae "gongo" linamchanga sometimes.
 
Back
Top Bottom