Final ya kesho haina maana,coz Chelsea wana mgomo.

Final ya kesho haina maana,coz Chelsea wana mgomo.

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,155
Reaction score
11,168
Sipendagi kuangalia mechi,wakati matokeo nakuwa najua nani anashinda katika mchezo.
Wazee Wa kubet kesho weka hata laki kwa man u.
 
Sipendagi kuangalia mechi,wakati matokeo nakuwa najua nani anashinda katika mchezo.
Wazee Wa kubet kesho weka hata laki kwa man u.
Mkuu vp umejificha wapi?????naona Uzi hautembei kabisa,au umewalisha watu matango pori????
 
Huwez kurud kwenye huu uzi, hiv kwann mnapiga sana ramli eny wa tz
Aisee,ndo maajabu ya mpira haya,hata HAJI MANARA na JOSE MORINHO hawana hamu
 
Ipo siku utakuja uchomwe moto adharani wewe,ona ulivyotutia umasikini wengine hiyo hera ya kubet tulichukua mkopo tena kwa riba kubwa.
 
Ni kweli kabisa mkuu, wana mgomo mkali sana....wanataka kocha wao afukuzwe.
 
Back
Top Bottom