Finali ya CAF Super Cup 2022 kati ya Wydad AC vs RB Berkané kuchezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa

Simba imeiongezea heshima nchi yetu.
Kufanya vizuri kwenye michuano hii ya CAF kwa miaka 4 kumechangia wengi kuanza kuifuatilia Tanzania ktk ulimwengu wa kandanda
#GuvuMoya
 
Hatimaye soka inaifanya Tanzani iwe maarufu Afrika
 
Simon Msuva angetulia na kuacha mihemuko angecheza fainali hii huku jina lake likizidi kufahamika na timu kubwa tajiri zaidi ambazo zingemaliza tatizo la,bonus anayolililia :

The leaders of the WAC learned the news with amazement, since they believe that the player has received all of his salaries and bonuses, reports a source within the Casablanca club.

All that was missing was his signing bonus, which many other players haven't touched, as the club is currently going through a financial crisis.

The management of Wydad had in this regard promised that this bonus would be given to the players once the financial situation had improved. Read More : Wydad: Simon Msuva ourdit un faux conflit avec son club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…