Finali ya CAF Super Cup 2022 kati ya Wydad AC vs RB Berkané kuchezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa

Finali ya CAF Super Cup 2022 kati ya Wydad AC vs RB Berkané kuchezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa

Rage alikuwa sahihi kabisa kuwaita baadhi ya watu fulani hivi jina la mbumbumbu.
 
Simon Msuva angetulia na kuacha migemuko angecheza fainali hii huku jina lake likizidi kufahamika na timu kubwa tajiri zaidi ambazo zingemaliza tatizo la,bonus anayolililia :

The leaders of the WAC learned the news with amazement, since they believe that the player has received all of his salaries and bonuses, reports a source within the Casablanca club.

All that was missing was his signing bonus, which many other players haven't touched, as the club is currently going through a financial crisis.

The management of Wydad had in this regard promised that this bonus would be given to the players once the financial situation had improved. Read More : Wydad: Simon Msuva ourdit un faux conflit avec son club
Wachezaji wetu sijui wanafeli wapi. Sidhani kama msuva ana wazo la kucheza tena ughaibuni .Sanasana utarudi Yanga kama Ngasa Biashara inaishia hapo
 
Panapo majaaliwa ya uzima wa afya na uhai nitahudhuria hii mechi.
 
Huyo jamaa amekanusha anadai Motsepe alinukuliwa vibaya.
 
Ila kwakuwa haihusishi Simba au Yanga...Uwanja hautojaa

TZ bado sana kimpira, Ili tuendelee Lazima mapenzi ya Football nchini yawe zaidi ya SImba na Yanga. Kama ikitokezea kuujaza uwanja wa mechi kama hiyo ndio tutajenga imani ya kupewa nafasi zakuandaa AFCON pamoja na mashindano mengine mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom