Finali ya CAF Super Cup 2022 kati ya Wydad AC vs RB Berkané kuchezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa

Rage alikuwa sahihi kabisa kuwaita baadhi ya watu fulani hivi jina la mbumbumbu.
 
Wachezaji wetu sijui wanafeli wapi. Sidhani kama msuva ana wazo la kucheza tena ughaibuni .Sanasana utarudi Yanga kama Ngasa Biashara inaishia hapo
 
Panapo majaaliwa ya uzima wa afya na uhai nitahudhuria hii mechi.
 
Wachezaji wetu sijui wanafeli wapi. Sidhani kama msuva ana wazo la kucheza tena ughaibuni .Sanasana utarudi Yanga kama Ngasa Biashara inaishia hapo
Msuva alipamisi Sana bongo.
 
Huyo jamaa amekanusha anadai Motsepe alinukuliwa vibaya.
 
Ila kwakuwa haihusishi Simba au Yanga...Uwanja hautojaa

TZ bado sana kimpira, Ili tuendelee Lazima mapenzi ya Football nchini yawe zaidi ya SImba na Yanga. Kama ikitokezea kuujaza uwanja wa mechi kama hiyo ndio tutajenga imani ya kupewa nafasi zakuandaa AFCON pamoja na mashindano mengine mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…