Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
huu mchezo kwamba umeanzishwa lini mbona wakibaguzi huu mbona senegal hawapo hapo maana nao ni mabingwa afcon.
huu mchezo kwamba umeanzishwa lini mbona wakibaguzi huu mbona senegal hawapo hapo maana nao ni mabingwa afcon.
hamjazuiwa na nyinyi kuanzisha na lenu, Acha fikra za ovyo.
huu mchezo kwamba umeanzishwa lini mbona wakibaguzi huu mbona senegal hawapo hapo maana nao ni mabingwa afcon.
Tarehe 1/june, kutakua na mechi babkubwa, kati ya Argentina ambao ni mabingwa wa bara lao (Amerika ya kusini) wanakutana na Italy ambao pia ni mabingwa wa bara lao (Ulaya)
View attachment 2245711View attachment 2245712
Game litachezwa tarehe 1/june, saa 3:45, usiku.
Tupeane live updates
Enheee naisubiri game kwa hamu mapna inarushwa Dstv 225.
Ila Italy anakufa
Utashangaa ki mechi icho kama argentina wakishinda na kupewa kombe bac messi anapewa balloon d or