Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Haya sasa Messi kabeba lingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa Messi kabeba lingine
Tarehe 1/june, kutakua na mechi babkubwa, kati ya Argentina ambao ni mabingwa wa bara lao (Amerika ya kusini) wanakutana na Italy ambao pia ni mabingwa wa bara lao (Ulaya)
View attachment 2245711View attachment 2245712
Game litachezwa tarehe 1/june, saa 3:45, usiku.
Afrika tutacheza na bingwa wa eshia..huu mchezo kwamba umeanzishwa lini mbona wakibaguzi huu mbona senegal hawapo hapo maana nao ni mabingwa afcon.
Argentina wanabeba na world cup
Argentina wanabeba na world cup
Exactly..
Wana kila sababu ya kutwaa mkuu, na soon watarudi nafasi yao ya kwanza (Fifa Ranking)
Halafu ni kombe la pili hili
1 Maradona alichukua
2 Messi pia
Kubeba World Cup ni mchezo wa kitoto? Kwanini wapenzi wa Messi mumekua hamukati tamaa?
Hili sio kombe, Bali ni mchezo wa kirafiki uliochangamka
Wapi imeandikwa ya kirafiki?
Finallisima maana yake kirafiki? Ila wabongo bwana, mtihani sana.
Mkuu Kwa mujibu wa taratibu za fifa hio mechi inahesbika kama ni mechi ya kirafiki, Mana hilo kombe halitambuliwi na fifa. Haina tafouti na Emirate cup au Audi Cup.
Vyovyote sawa mkuu, ila Argentina wanastahili kongole. Imagine Italy imetoka kuwa bingwa wa euro, maana yake timu alizokutananazo huko nyuma sio ndogo mpaka akaingia final na uingereza, hatimae italy akawa bingwa. Point yangu hapa Argentina wako vizuri sana kuliko timu yoyote kwa sasa.
Mkuu Argentina walishusha full mziki kwenye ile mechi, Italy ilikosa zaidi ya wachezaji 7. kwahiyo hakikua kigezo tosha baina yao.
Na Pia Kimchezo ni kweli wanaonekanwa wapo vizuri ila bado sio kigezo tosha, Timu za America ya Kusini zimekua zikicheza ovyo sana kwenye mashondano ya World Cup kwa muda mrefu sasa, Standard ya ubora wa timu zao Umeshuka sana.