Finally Bongo Movies Kwenda International!!!!!!!!!! Richard Mzirayi na Mkewe Wawekeza Mpunga Mnene!!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Wale mliokuwa mnapuuza movies za kibongo sasa kumbuka mdomo wazi baada ya serious people with serious money kuamua kuinvest big kwenye tasnia hii! Zile jitihada ya Marehemu Kanumba (R.I.P) zimepata muendelezaji.

Muke ya bosi, Cynthia Masasi Mzirai, video vixen wa U.s kitambo kwa support ya mumewe wako mbioni kudondosha bonge la movie likiwashirikisha actors kibao wavumao Africa, na kibongo bongo atacheza yeye Muke ya bosi, na Beauty Queen, Sepetu wa Sepetunga na hilo muvi litakuwa next level nikimaanisha Dude la Kimataifa!

Sasa basi ngoja niwahi English kozi nipate japo scene mbili za kucheza hata beki 3, manake Tollywood inafufuka kwa kasi, and i want to be in the action. Mwanzo mgumu na kingrezaring not reachable ivo ivo tutafika!

YOU HEARD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KHABARI NDO HIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukiondoa Wema Sepetu. hao wengine ni akina nani?
 
nakumbuka kabla cjawa hpa nilipo nikiwa kwnye magazine flani niliwahi kumfanyia interview Cyncia khusu hii ishu..ni kwamba yeye pamoja na mumewe wanafungua ofic ya mambo ya filam itakyokuwa n vifaa vya kisasa na kwa kuanza wanatengeneza hiyo movie ..itakayoshirikisha waigizaj wa Tz na Nigeria or Ghana..Tz ilikuwa awe Wema..uwoya na Jb..mwisho wa siku akawa ni wema pekee..uwoya na jb waliachwa coz ya english..sababu movie part kubwa itakuwa ni english tuu na nigeria atakuwa ni yule jamaa mgana..Van Vicker cjui or jamaa flan jina limenipotea.movie itahusu mapenzi kama kawaida eviction ishagafanywa kitambo sana..so Lara umechelewa na hawatak vingeleza vya kuunga na hawataki ma house gal or walinz wanao act hamnazo...kwa ufupi ni hayo niliyoyapata kwa Cyncia
..msiomfaham huyu ni mu mama sasa mtanzania mwenye asil ya Mwanza..alitimukia State enzi hizo na alikuwa video queen mkubwa tu kule..alifanya kazi na 50cent..TI ..Rick rozzay n wengineo..saiv anaish na mumewe kwwnye hekaru lao lililoko mbezi beach
na cha ziada nilichokijua kutoka kwake...mwaka jana kupitia kampuni yao walitaka waandae tamasha kubwa la muzic na wangemleta Rick Ross coz tayari anafahamiana nae na walikuwa washakubaliana but Kusaga akamu overtake wakaamua kuachana na hizo mambo za muzik na kuingia kwwnye movie..ni hayo tu
 
hizo movie wanatarget kuziuza US nini?
 
Hatua nzuri kwa kiwanda cha filamu bongo,

Ila tahadhari kwani uwekezaji mkuuuuuubwa sio uhakikisho wa kufanya filamu nzuri, kinachokuja kwanza ni "nidhamu" ya utengenezaji wa hizo filamu ndipo uwekezaji utakuwa na maana.

Pili.....nadhani watanzania tuna dhamana ya kukithamini kiswahili, sioni uhusiano wa kufanya jambo zuri na lugha ya kiingereza....UZURI WA KITU NI KUJIPANGA + NIDHAMU, SIO LUGHA.

Tatu...washirikishwe watu wenye weledi (hata kwa ushauri), mfano Adam Juma etc.
 
hakuna jipyaa hapo lara,bongo movie bado sanaaa
 
Movie zenyewe ni maigizo matupu, movie inaandaliwa mwezi mmoja hakuna maandalizi yoyote wala utafiti wa maana unaofanyika.
 
Movie zenyewe ni maigizo matupu, movie inaandaliwa mwezi mmoja hakuna maandalizi yoyote wala utafiti wa maana unaofanyika.

Wabongo ni wavivu kufanya research kuhusu filamu wanazoandaa kwa mfano tu kama kipande kinahusiana na maswala ya Kipelelezi au kijeshi ni vituko...!!, hivi hawa mapolisi wetu walivyo na njaa hivi hata ukimpa elfu 50 atashindwa kweli kuwaelekeza nini cha kufanya na procedure zote?!tena mnaweza kushinda nae hata location...waache ubahili na waumize vichwa.

Tena huo ni mfaano mmoja tu waende taasisi yoyote hata kama hawatawapewa ushirikiano wa moja kwa moja bado wanaweza kuiba iba kwa kuwaomba hata wafanyakazi wenye ujuzi kuwasaidia katika research zao kuhusu vipande vinavyohusiana na taasisi wanazotaka kucheza uhusiaka wao...hata mimi sehemu ninayofanya kazi wakiniomba niwape ushauri hata hawapati tabu nitawapa bure hata kumi sitaki(kwa sasa lakini sio wakishaanza ku-make big money)na hata naweza kuwarekebishia script yao bila kuharibu mahudhui...
 


Kama uko nao close
waambie watafute team zilizotengeneza movie
kama hizi mbili
1VIVA RIVA ya DRC
2.Tootsie ya SA... kama wako that serious na pesa wanayo
 
Kama uko nao close
waambie watafute team zilizotengeneza movie
kama hizi mbili
1VIVA RIVA ya DRC
2.Tootsie ya SA... kama wako that serious na pesa wanayo

Aaaaaah wapi! Mi nimesikia mitaani tu! Wala hata siwajui!
 
Bongo movies ambayo kila muigizaji ni producer na director at the same time?

Naangalia Pika Boom.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…