Finally Bongo Movies Kwenda International!!!!!!!!!! Richard Mzirayi na Mkewe Wawekeza Mpunga Mnene!!

Finally Bongo Movies Kwenda International!!!!!!!!!! Richard Mzirayi na Mkewe Wawekeza Mpunga Mnene!!

Huo wa home ndo mzuri, manake hautakosa nazi huo! Wacha nijiandae ili mradi usije ukaleta zile za "mnh, hutaniwi!"

Hahaaa hamna wee jiandae.
Tena fanya fasta suije kuta mapochopocho yamepoa.
Raha ya mpunga uule na moto uliotoka nao jikon,sio wa kupasha kweny microwave.
Merry christmas my dear.
 
Hahaaa hamna wee jiandae.Tena fanya fasta suije kuta mapochopocho yamepoa. Raha ya mpunga uule na moto uliotoka nao jikon,sio wa kupasha kweny microwave. Merry christmas my dear.
Thanks my dear, Merry Christmas to you too. Yaani huo wa moto moto ndo wenyewe; sijui ulijuaje! Kuhusu kuwahi, ondoa shaka, kwanza n'shawaambia home basi wasihangaike kuandaa x-mass...sana sana hela tuliyotaka kuandalia x-mas tutatumia kukodi Hiace ya kujia huko, tupo mimi, baba na mama na wadogo zangu watano tu...kumbe hata kumi hatujafika!
 
Thanks my dear, Merry Christmas to you too. Yaani huo wa moto moto ndo wenyewe; sijui ulijuaje! Kuhusu kuwahi, ondoa shaka, kwanza n'shawaambia home basi wasihangaike kuandaa x-mass...sana sana hela tuliyotaka kuandalia x-mas tutatumia kukodi Hiace ya kujia huko, tupo mimi, baba na mama na wadogo zangu watano tu...kumbe hata kumi hatujafika!

Kuna hicho ki-hiace hapo nje kinapiga honi kiko nyomi nahisi ndio nyie.
Kijasho cha pua kinanitoka sijui kwanini,anyway ngojea nikawafungulieni mlango.
Naona maza anafunga vizuri kilemba chake kwa mbali mdingi anarekebisha tai yake.
 
Wanajishaua tu ukoo wa wabeba sembe huo...si wanashinda catalunya mwenge kwa mjomba yao mbeba sembe maarufu...yetu machoo
Aisee hawa jamaa hawakauki katalunya hasa Mike yan mda wowote ukienda lazma umkute,hua najiulizaga wanakulaga chakula cha wake zao sa ngap?
 
Kuna hicho ki-hiace hapo nje kinapiga honi kiko nyomi nahisi ndio nyie. Kijasho cha pua kinanitoka sijui kwanini,anyway ngojea nikawafungulieni mlango. Naona maza anafunga vizuri kilemba chake kwa mbali mdingi anarekebisha tai yake.
mnh! naona unavyojishaua hapa...kuckia hiace tu, unaingia mitini 'afu unajifanya ulikuja kutufungulia mlango!! Ulifungua mlango wa mbele ili utoke nje na kutukaribisha au wa chumbani ili utokomee?! Au ndo kisasi kv ckukukaribisha Eid? Anyway, xmass ilikuwa poa lakini?
 
Wasanii wa Bongo wanahitaji shule kuhusu kuigiza na si vingine.

Ata wakija Ma-dairekta toka Hollywood, tatizo litakua lilelile.
 
heeeeee ukiwa muongo uwe na kumbukumbu we si ulisema una masters english course ya nini tena
 
heeeeee ukiwa muongo uwe na kumbukumbu we si ulisema una masters english course ya nini tena
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Wale mliokuwa mnapuuza movies za kibongo sasa kumbuka mdomo wazi baada ya serious people with serious money kuamua kuinvest big kwenye tasnia hii! Zile jitihada ya Marehemu Kanumba (R.I.P) zimepata muendelezaji.

Muke ya bosi, Cynthia Masasi Mzirai, video vixen wa U.s kitambo kwa support ya mumewe wako mbioni kudondosha bonge la movie likiwashirikisha actors kibao wavumao Africa, na kibongo bongo atacheza yeye Muke ya bosi, na Beauty Queen, Sepetu wa Sepetunga na hilo muvi litakuwa next level nikimaanisha Dude la Kimataifa!

Sasa basi ngoja niwahi English kozi nipate japo scene mbili za kucheza hata beki 3, manake Tollywood inafufuka kwa kasi, and i want to be in the action. Mwanzo mgumu na kingrezaring not reachable ivo ivo tutafika!

YOU HEARD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KHABARI NDO HIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Congratulations
 
Back
Top Bottom