[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii congratulation ya mwaka huu au ya 2013?
mi huwa sifuatilii bongo movie kabisaUkiipata please naomba unijulishe
mi
mi huwa sifuatilii bongo movie kabisa
nisikupe matumaini bure
Wabongo kwa kelele hawajambo.....
Huioni kalele imepigwa hapo juu....Kelele gani mkuu?
Huioni kalele imepigwa hapo juu....
issue watu wanafanya taratibu ikishafanikiwa ndio inazungumzwa...hapa kelele mingi...imepigwa sasa ikifeli zikilizia moto wake
Wema kuigiza hajui ni vile jina tu...
Usifananishe Lupita na vitu vya kipuuzi aisee!!! Labda kama una lingineUnamwonea tu. Akipata director mzuri basi hata Lupita Nyongo hamfikii
Usifananishe Lupita na vitu vya kipuuzi aisee!!! Labda kama una lingine
Hao ni wahapahapa MzeeWema na Irene Uwoya na mastaa wengi tu wa bongo movie wako vizuri sana. Wakipata directors wazuri basi they can put Wakanda actors to shame
Hao ni wahapahapa Mzee
***** kutesa kwa zamu,No more MAYBACH ,No more Range Vogue , No More Benz ππππππ.