Hao watoto wa kikwete achana naomshamba_hachekwi muite na penseli
hao watoto wa kikwete achana nao
Tupo bro..Thread started!!!!
Miee ni jobless graduate kipato ni kubet ni hivo hvo kuna kuliwa plus kupoteza hela .......
Hatumtegemei ndugu.Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates yaani.......
Kweli mkaliiiiHatumtegemei ndugu.
Hatuitegemei serikali.
Hatuishi kwa connection.
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Muhimu kuwa na financial freedom tuuTupo bro..
Hiki ndio kizazi chenye ujasiri mkunbwa kwa sasa.
Tunaishi maisha Yetu.
Hatuna shughuli rasmi mjini Ila Tunajenga na kumiliki biashara.
Hakuna kitu tunachosubiri katika maisha kazi ije isije itatukuta tunawatoto na wake.
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Less than 30 years of age , mtag bro akuje hukumshamba_hachekwi muite na penseli
ila nikipewa naperform😋mshamba_hachekwi muite na penseli
Uislam mwema sana, katika Uislam "childhood" inakutoka ukibalehe tu.Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates yaani.
Jobless, unapata wapi hela ya kucheza kamari?!Thread started!!!!
Miee ni jobless graduate kipato ni kubet ni hivo hvo kuna kuliwa plus kupoteza hela .......
Unadhani wewe bado ni mtoto?29 mzee kweli au unanitania bii mkubwa??