Finally childhood is over special thread

Finally childhood is over special thread

Thread started!!!!

Miee ni jobless graduate kipato ni kubet ni hivo hvo kuna kuliwa plus kupoteza hela .......
Tupo bro..

Hiki ndio kizazi chenye ujasiri mkunbwa kwa sasa.

Tunaishi maisha Yetu.

Hatuna shughuli rasmi mjini Ila Tunajenga na kumiliki biashara.

Hakuna kitu tunachosubiri katika maisha kazi ije isije itatukuta tunawatoto na wake.

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates yaani.......
Hatumtegemei ndugu.

Hatuitegemei serikali.

Hatuishi kwa connection.

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Tupo bro..

Hiki ndio kizazi chenye ujasiri mkunbwa kwa sasa.

Tunaishi maisha Yetu.

Hatuna shughuli rasmi mjini Ila Tunajenga na kumiliki biashara.

Hakuna kitu tunachosubiri katika maisha kazi ije isije itatukuta tunawatoto na wake.

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Muhimu kuwa na financial freedom tuu
 
Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates yaani.
Uislam mwema sana, katika Uislam "childhood" inakutoka ukibalehe tu.

Mijitu mizima ndiyo mnastuka saa hizi kuwa "childhood" imewatoka? Ndiyo maana mnachelewa sana kimaisha. "Childhood" iliwatoka zamani sana, mnaingia uzeeni sasa.
 
Back
Top Bottom