Hujawahi kuamkiwa, shikamoo mzee?29 mzee kweli au unanitania bii mkubwa??
Hawa ni wale wa "daddy am going I need to use your car".Kwahiyo mlikua mnajiona bado wadogo 😃😃,, ila vizuri kama mmeshastuka
Kwakweli hata mimi nimeona...lakini hawajachelewa sana bado wana mdaHawa ni wale wa "daddy am going I need to use your car".
Mxxxieewwwww!!! 🤣🤣🤣🤣ila nikipewa naperform😋
Si hao nimewatag unamtaka yupi tena nikuongezee? 😀Less than 30 years of age , mtag bro akuje huku
Hongera sana Mwananguacha jobless wa kimataifa nipo, Sina graduate chuo chochote.
[emoji117]Ila nime master courage na belief ya kupambania Malengo yangu[emoji123]
Mimi jobless wa kimataifa 😂🤣Hongera sana Mwanangu
bila shaka utakuwa unaishi Nje ya Nchi na kama ni hapa Nchini itakuwa kama sio Masaki basi Sieview mtaa alioishi Hayati Dauli Balali na Mzee Benjamin William