Finally childhood is over special thread

Finally childhood is over special thread

Best generation ever

Hatuna connection za maana, hatuna backup za kutosha, mmetupa elimu ambayo ndani yake mnafanya majaribio sijui BRN😁, mara hesabu za multiple choice in short mmeturithisha mifumo mibovu ya elimu lkn bado tunadunda tunanunua viwanja tunapambana!

Tumezaliwa kipindi nchi inafanya reformation nyingi na madhara kutuathiri direct ila wajuba tunasaka chenchi tu na tunaendelea 😁
 
Wazee wanatucheka wanasahau walitupa elimu ya kushed mtihani tukaenda secondary napo ni kukariri madesa tu,
 
acha jobless wa kimataifa nipo, Sina graduate chuo chochote.
👉Ila nime master courage na belief ya kupambania Malengo yangu💪
 
acha jobless wa kimataifa nipo, Sina graduate chuo chochote.
[emoji117]Ila nime master courage na belief ya kupambania Malengo yangu[emoji123]
Hongera sana Mwanangu

bila shaka utakuwa unaishi Nje ya Nchi na kama ni hapa Nchini itakuwa kama sio Masaki basi Sieview mtaa alioishi Hayati Dauli Balali na Mzee Benjamin William
 
Hongera sana Mwanangu

bila shaka utakuwa unaishi Nje ya Nchi na kama ni hapa Nchini itakuwa kama sio Masaki basi Sieview mtaa alioishi Hayati Dauli Balali na Mzee Benjamin William
Mimi jobless wa kimataifa 😂🤣
FB_IMG_16899785204857367.jpg
 
Back
Top Bottom