Finally kule kijijini kwetu Upareni lami imepita, ilikuwa kama ndoto vile

Ivi inafika usangi??? Mara ya mwisho 2015 nilipanda ilikuwa imefika mbele ya kikweni kuelekea Shighatini......mitaa yangu Sana from 99-2005.....
 
Tena tumechelewa sana
Akija mwingine apasue mpaka miamba


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Aisee nikiona hiyo milima unanikumbusha mbali mkuu
Nilichapwa bakora kwa kukutwa nasaundisha binti. Kumbe baba yake ustadhi na anaheshimika 2004 hiyo dah!
 
Chupayamaji

Makanya barabara iliyopita ni Highway ya Arusha to Dsm or Mbeya.

Makanya bado inahitaji lami ya kwenda Ruvu upande wa Magharabi. Upande wa mashariki barabara iendayo Suji na Chome.

Kwa upande wa Same. Barabara ya kwenda Kisiwani nadhani imekamilika mpaka Gonja. Mpaka Ndungu.

Usangi mambo kuchere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…