Finally kule kijijini kwetu Upareni lami imepita, ilikuwa kama ndoto vile

Finally kule kijijini kwetu Upareni lami imepita, ilikuwa kama ndoto vile

Asante rais magufuli kwa kuwajali wachaga
Upareni nimezunguka sana ingawa sio mwenyeji wa huko , specify hiyo ni wapi, gonja ? Chome ? Mtii
Wachaga na Wapare ni tofauti
Hii lami ni ya zamani mbona km ukarabati sawa maana naona ni kutoka Shighatini kwenda Usangi Wilaya ya Mwanga.
Same Chome,Milima yake ni tofauti kidogo.
Na lami sasa zinawekwa na TARURA fungu wanapata kutokana na makato katia Petrol, Diesel na mafuta ya taa tunayonunua Watanzania wote pamoja na Ushuru wa Parking mijini
km Lami imeweka Milima ya Ngulu Suji basi kweli Awamu ya 5 nawavulia kofia
mwenye picha ya kupanda milima ile kutokea Makanya aiweke P/se
 
Back
Top Bottom