Finally: Ndugu Pharell Williams Amekaoa kale Kabinti

Kenny Hill

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
65
Reaction score
61
1381587382_pharrell-williams-wedding-helen-lasichanh_1.jpg

Naona Ndugu yetu Pharell Amekaoa kale ka-super model anakokavalishaga nguo za ajabu ajabu. Mdada ni mrefu kama mvinje. Jamaa kaona ukapela sasa basi

pharrell-williams-456-71812.jpg

UPDATE: PICHA ZA HARUSI HATA WAMAREKANI WENZAO WAMUWASHANGAA

18e36e2c-7625-4e91-a4e0-71713fcab272_2048_PharrellWilliamsWedding.jpg
 
^^
Nyie ndo huwa mnavunja mahusiano ya watu..mkipigwa risasi mnasema mapenzi mabaya
^^
 
Ni Mwanamuziki na Producer wa Miziki duniani ambayo mingi tu imeshika Namba moja duniani. Ni Muimbajin na Mwana mitindo pia na ana nguo zake za ajabu ajabu ila zinauzwa bei chafu sana na si kwa watu masikini. Pia ni member wa Band ya NEPTUNE

Ndiye ali-produce kibao cha Snoop Dogg featuring Justin Timberlake - SIGN.

Kwa sasa ameshiriki kwenye wimbowa Daft Pank - Get Lucky ambao uko juu sana nchi nyingi na wimbo ambao kwa kweli umeshika namba moja nchi nyingi ambao ameshiriki kuandika na kuimba akiwa na Robin Thicke na ndiye Producer, unaitwa Blurred Lines ambao kwa sasa kwenye Youtube (VEVO) unakaribia kugonga 200 millions watch!!!

Mandela alivyomuona alicheka na kusema "He is so Small....." Ila ni marafiki sana nafikiri hadi leo

Crazy Version ya huo wimbo, hapa Robin Thicke akiwa na The Roots: Jimmy Fallon, Robin Thicke & The Roots Sing "Blurred Lines" (w/ Classroom Instruments) - YouTube

beshtito kwani huyu ni nani hapa duniani?
 
Last edited by a moderator:

ahsante Sikonge kwa ufafanuzi makini
 
Last edited by a moderator:
Kibao chake kinachotesa katika anga za muziki duniani kwa sasa ni hiki hapa ambacho alishirikiana na Daft Punk.

thank you
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom