Ni Mwanamuziki na Producer wa Miziki duniani ambayo mingi tu imeshika Namba moja duniani. Ni Muimbajin na Mwana mitindo pia na ana nguo zake za ajabu ajabu ila zinauzwa bei chafu sana na si kwa watu masikini. Pia ni member wa Band ya NEPTUNE
Ndiye ali-produce kibao cha Snoop Dogg featuring Justin Timberlake - SIGN.
Kwa sasa ameshiriki kwenye wimbowa Daft Pank - Get Lucky ambao uko juu sana nchi nyingi na wimbo ambao kwa kweli umeshika namba moja nchi nyingi ambao ameshiriki kuandika na kuimba akiwa na Robin Thicke na ndiye Producer, unaitwa Blurred Lines ambao kwa sasa kwenye Youtube (VEVO) unakaribia kugonga 200 millions watch!!!
Mandela alivyomuona alicheka na kusema "He is so Small....." Ila ni marafiki sana nafikiri hadi leo
Crazy Version ya huo wimbo, hapa Robin Thicke akiwa na The Roots:
Jimmy Fallon, Robin Thicke & The Roots Sing "Blurred Lines" (w/ Classroom Instruments) - YouTube