Finally: Ndugu Pharell Williams Amekaoa kale Kabinti


Mkuu asante kwa ufafanuzi mimi nili assume kila mtu anamjua jamaa vizuri. Ila wewe jamaa unamjua vizuri sana. Jamaa ni some type of musical genius. Na hako kadada ni moto sana. Nna wa-admire
 
Last edited by a moderator:
Binti alijua kama anaanguka, sehemu IMARA ya kushika ili usianguke ni hiyoooo.... Sijui kwa nini alifikiria ashike hapo.



Akina dada na hasa hawa wa MMU, mnaona faida ya kuvaa Makufuli? Mjitahidi walau kawepo ka C-String kama G-String pia hamzitaki.
 
Mmmh bora mtoto anapossibility ya kutozaa andunje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…