Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hahahah yaani mimi nikufuatefuate wewe, unatoa jasho la dhahabu??
Nina wasiwasi sana na serikali ya kichwa chako, jambo dogo unalizua na kuwa kubwaaaa.
We mwenyewe ndio uliweka bandiko la kutafuta MUME, unaulizwa kama umepata unajifanya kucharuka...eboh!!!
Sasa sijui nani mwenye matatizo ya medula oblongata, maana hata post yako ya kwanza tu kwenye hii thread inadhihirisha utashi wako upo taabani kiasi gani.
Usiwe una-panic hovyo maana kwa tabia hii aliyekupata ana hasara kuliko hata walioangusha ghorofa la NHC...
Mpwa Nicas Mtei, mtani snowhite hivi wenzangu huwa mnamuelewa huyu mtu, leo hii anajifanya kusahau kwamba alikua anatafuta bwana hapa jamvini...khaaaa!!!
NB:
Haya we bi dada aliyeandika hili bandiko kwenye kiunganishi ni nani kama si wewe??
Nimeshindwa na huu ubachelor

hivi kwanini uko hivyo nimekukosea nini mpaka unanichunguza utafikiri wewe TAKUKURU naomba tuheshimiane kabisa sipendi ugomvi na mtu mie, mm ni mke wa mtu, pls heshima ni kitu cha bure mtu akikuheshimu nawe mheshimu naona unavuka mipaka, niweke bango kwani natangaza biashara hapa au nimekufa ndo unishupalie bango bango bango bangooooo naomba UNIHESHIMU LASIVYO UTAKIONA CHA MTEMA KUNI WEWE
Last edited by a moderator: