Finally,nimeamua kufunguka....

Hahahah yaani mimi nikufuatefuate wewe, unatoa jasho la dhahabu??
Nina wasiwasi sana na serikali ya kichwa chako, jambo dogo unalizua na kuwa kubwaaaa.
We mwenyewe ndio uliweka bandiko la kutafuta MUME, unaulizwa kama umepata unajifanya kucharuka...eboh!!!
Sasa sijui nani mwenye matatizo ya medula oblongata, maana hata post yako ya kwanza tu kwenye hii thread inadhihirisha utashi wako upo taabani kiasi gani.
Usiwe una-panic hovyo maana kwa tabia hii aliyekupata ana hasara kuliko hata walioangusha ghorofa la NHC...

Mpwa Nicas Mtei, mtani snowhite hivi wenzangu huwa mnamuelewa huyu mtu, leo hii anajifanya kusahau kwamba alikua anatafuta bwana hapa jamvini...khaaaa!!!

NB:
Haya we bi dada aliyeandika hili bandiko kwenye kiunganishi ni nani kama si wewe??
Nimeshindwa na huu ubachelor

 
Last edited by a moderator:

mtani hapa umekasirika kweli!
i can tell!
mi nakujua mtani wangu!hapa sio ile mineno yetu ya kila siku!ur really angry here!
TOKA ZAMANI SANA NILIKWAMBIA POTEZEA bana!ryt!si wajua ninavokulove,usikasirike hv bana!too bad for yu!too bad!sawa?
 
Sawa mtani wangu nimekuelewa, ila sipendi mtu ndumilakuwili...
Unamuuliza in a friendly way kwa kuwa unajua ni rafiki na unamjali...
Halafu anawehuka kama mgonjwa aliyetoroka Mirembe mwenye kimuhemuhe cha kukoswakoswa kugongwa na gari la taka...
Naona watu wengine hawana shukrani kabisa kama makalio vile, ambayo kutwa tunayasafisha lakini hayaachi kunuka...
Ngoja nipotezee tu na nifunge dikshenari yangu ya vitenzi vikurupushi...

mtani hapa umekasirika kweli!
i can tell!
mi nakujua mtani wangu!hapa sio ile mineno yetu ya kila siku!ur really angry here!
TOKA ZAMANI SANA NILIKWAMBIA POTEZEA bana!ryt!si wajua ninavokulove,usikasirike hv bana!too bad for yu!too bad!sawa?
 
baaaasi usimalizie kusema,baaaasi usimalizie kusema!
lol!:yo:
:yo:
 
Hivi snochet alipata? kama hujapata nirushie PM basi. :-*
 
Last edited by a moderator:
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] mwache mwenzakooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…