Nadhani na huenda akaokoka muda si mrefu.Nimebahatika kumsikliza Ommy Dimpoz akitoa ushuhuda wa alichopitia kipindi chote akiwa kwenye matibabu, hatimaye ameamua kutoa bonge la Gospel.
mkuu ugonjwa si kwa mtenda dhambi tu hujawahi kuona mtu mcha Mungu anapata ugonjwa unamtasa sana?Vijana wengi tunajisahau sana tunaona hakuna lakututisha tunajua kila kitu, tunaweza kufanya lolote na mahala popote tunamsahau Mungu kabisaaaaa!
Ndugu yetu Ommy dimpozi alishajisahau mno starehe/anasa kama zote kashikwa koo kidogo tu kaufahamu ukuu wake ewe kijana mwenzangu shituka Devil is at work tena anajeshi kubwa sana hii iwafikie wasanii wote wakike tunaoshinda nao studio nikianza na Lulu diva na amber lulu
ngoma kali sanaa!ndivyo inavyotakiwaMsanii ommy dimpoz baada ya kuwa katika kipindi kigumu sana kwa kufanyiwa operation kwenye oesophagus kwa Mara tatu mfululizo now amerudi kwenye game rasmi.
Amerudi na wimbo unaokwenda kwa jina la "ni wewe" ikiwa kama shukrani kwa mungu kumpigania mpaka Leo hii!
Hii ni habari njema kwa watanzania, kings music na rockstar na wapenda mziki mzuri kwa ujumla
YouTube: ommy dimpoz - Ni wewe.
Welcome back omary nyembo kwenye game again!.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Anae bana,si alishawahi kumuonesha mitandaoni mtoto kutoka Ethiopia?Atafute na Demu sahizi.
Sikatai, ila sasa hivi vijana tumezidi laiti kama mungu asingetoa kauli ya kutoipiga dunia kama alivyoifanya enzi za nuhu wallah angefanya.mkuu ugonjwa si kwa mtenda dhambi tu hujawahi kuona mtu mcha Mungu anapata ugonjwa unamtasa sana?
Amepitia mtihani mzito sana!!
We kweli pagan kama id yakoBaada ya kuwashukuru madaktari anamshukuru Yesu, huo ni wizi wa shukrani.