Finally Ommy dimpoz amerudi tena kwenye Game ya muziki

Finally Ommy dimpoz amerudi tena kwenye Game ya muziki

Nimebahatika kumsikliza Ommy Dimpoz akitoa ushuhuda wa alichopitia kipindi chote akiwa kwenye matibabu, hatimaye ameamua kutoa bonge la Gospel.
 
Nimebahatika kumsikliza Ommy Dimpoz akitoa ushuhuda wa alichopitia kipindi chote akiwa kwenye matibabu, hatimaye ameamua kutoa bonge la Gospel.
Nadhani na huenda akaokoka muda si mrefu.
 
Nimemsikiliza sana Ommy Dimpoz, kupitia wimbo wake lakini kupitia interview kupitia youtube channel yake. Kuna kitu Mungu amekipanda ndani yake. Ile kukumbuka kwamba Mungu ndiye mponyaji ni fimbo kubwa sana kwa shetani.
Lakini pia nimeona Imani aliyonayo kwa Muumba wake pale alipoambiwa anapokunywa hata maji akumbuke kuyaombea na kesho yake akaipata sauti.

Binafsi namtukuza Mungu kwa uponyaji wa Ommy Dimpoz.
 
Vijana wengi tunajisahau sana tunaona hakuna lakututisha tunajua kila kitu, tunaweza kufanya lolote na mahala popote tunamsahau Mungu kabisaaaaa!

Ndugu yetu Ommy dimpozi alishajisahau mno starehe/anasa kama zote kashikwa koo kidogo tu kaufahamu ukuu wake ewe kijana mwenzangu shituka Devil is at work tena anajeshi kubwa sana hii iwafikie wasanii wote wakike tunaoshinda nao studio nikianza na Lulu diva na amber lulu
mkuu ugonjwa si kwa mtenda dhambi tu hujawahi kuona mtu mcha Mungu anapata ugonjwa unamtasa sana?
 
Msanii ommy dimpoz baada ya kuwa katika kipindi kigumu sana kwa kufanyiwa operation kwenye oesophagus kwa Mara tatu mfululizo now amerudi kwenye game rasmi.

Amerudi na wimbo unaokwenda kwa jina la "ni wewe" ikiwa kama shukrani kwa mungu kumpigania mpaka Leo hii!

Hii ni habari njema kwa watanzania, kings music na rockstar na wapenda mziki mzuri kwa ujumla


YouTube: ommy dimpoz - Ni wewe.


Welcome back omary nyembo kwenye game again!.........

Sent using Jamii Forums mobile app
ngoma kali sanaa!ndivyo inavyotakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Leo ndo nmemdharau kabisa Yule mtu mfupi(Steve Nyerere)aliongea upupu wakati dogo yuko hoi kitandan. Leo anabadili gia angani.nadhani ruge alinena ukweli kbs kwamba baada ya Mungu kingine unachopaswa kukiogopa Karne hii ni technolojia
 
mkuu ugonjwa si kwa mtenda dhambi tu hujawahi kuona mtu mcha Mungu anapata ugonjwa unamtasa sana?
Sikatai, ila sasa hivi vijana tumezidi laiti kama mungu asingetoa kauli ya kutoipiga dunia kama alivyoifanya enzi za nuhu wallah angefanya.
 
Mi nahisi busara zaidi angeacha huo mziki kabisa..akamrudia mola ake mlezi..atubie na awe mcha Mungu maana mitihani aliyopitia ni wake up call kbs...lkn kesho kutwa atasahau na anasa kama kawaida. Mungu amuongoze lkn!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom