Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Haya mabinti wenye sifa zifuatazo mjitokeze Mume nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
- Awe Mzuri Kupindukia
- Awe na Degree
- Awe Bikra (Nataka nijizindulie)
- Awe na Heshma Teleeeeee
- Awe na Aibu (muhimu)
- Awe na kazi Nzuri (Sitaki tegemezi)
- Ajue Kunipenda mimi TU.
- Asiwe mmbea au mtu wa majungu
- Awe Mvumilivu sanaaaa
- Asiwe na Tamaa
- Ajue Kupika vizuri
- Awe msafi sanaa
- Usafiri wake pia muhimu
- Ajue majukumu yake kama Mke kabla sijamuoa.
- Awe mtulivu mno.
- Asinywe pombe
- asiwe anavuta sigara.
- Awe tayari kupima HIV
- Awe mcheshi
- Atoke familia Bora yenye malezi mazuri
- Awe mpole kupita kiasi
- Apende mazoezi mara kwa mara
- Awe tayari kubadili dini
- Ajue kuvaa na kupendeza sana
- Awe anajua Kumuheshimu mume.
- Lazma awe maji ya Kunde sitaki mweupe au mweusi
- Ajue ku kiss vizuri (Sitokuwa na muda wa kufundisha)
- Kila kitu chake kiwe Natural kabisaaa (sitaki mikorogo au Nywele za kubandika)
- Awe Mcha-Mungu
- Kunako 6X6 awe mwepesi kujifunza Mautundu.
Warembo wanaojiona wana sifa zooote hapo juu wani PM.
Kama umepungua sifa hata moja Usisumbuke kuni PM maana maombi yako hayatakubaliwa nipo Strict sana.