Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi
Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee.
Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo amepitwa na wakati. Watu wa 2000 sasa wanatambua umuhimu wa ada na malipo mengine ya malezi.
Wazee wa 2000 age with grace
Katamu kama pilipiliKatoto ka 2000
Huko nyuma kalivonawiri
We ........
Tena hii ni laana kwa taifaTunakumbushana tu ukila watoto wa wenzio na wako wataliwa...
#karma#
Ukiandika kama kijana wa 70'sKuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi
Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee.
Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo amepitwa na wakati. Watu wa 2000 sasa wanatambua umuhimu wa ada na malipo mengine ya malezi.
Wazee wa 2000 age with grace
hata usipokula bado wataliwa tuTunakumbushana tu ukila watoto wa wenzio na wako wataliwa...
#karma#
Daaah tumefikia huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi mwanamke aliezaliwa kuanzia 2000 kushuka chini kwenda 1990 huko hata akinikonyeza tu namfungulia mashtaka polisi.