Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi
Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee.
Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo amepitwa na wakati. Watu wa 2000 sasa wanatambua umuhimu wa ada na malipo mengine ya malezi.
Wazee wa 2000 age with grace