Finally watoto wa 2000 wamekuwa wazee, 2005 ndiyo habari ya mjini

 
KILA BAADA YA MIAKA MITANO NI SHERIA KABISA KUBADILI AINA YA TOYS TO PLAY WITH๐Ÿค—

KATIKA HAYA MAISHA YA DUNIANI MWANAUME MWENYE AKILI TIMAMU,UNATAKIWA UWE NA HELA MUDA WOTE. DUNIA YOTE ITAKUWA YAKO.NI HUMU TUUUUU๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

MABIBI WA 90'S NA MISHANGAZI YA 2000๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹

๐Ÿ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI KWAAJILI YA MADOMO ZEGE NA MASKINI!!!
 
Finally nimethibitisha watanzania Wana matatizo ya Akili. Hii ni aibu kubwa kuleta mada za mfumo huu.
Na Jamiiforums moderator ni kama wamelala usingizi wa pono,mada za hovyo hazina maana yoyote zinarushwa hewani sasa kama hii ina nini cha kufundisha?

Nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ